Ubalozi wa EU nchini Kenya: Njama ya Ukoloni Mamboleo Kudhibiti Koloni Lake Afrika!
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ujumbe wa Umoja wa Ulaya (EU) mjini Nairobi ulizindua ubalozi mpya ukiifanya Kenya kuwa ndio ujumbe wake wa kigeni wa pili kiukubwa duniani baada ya ulioko mjini London.