Al-Waqiyah TV Kipindi cha Miangaza "Al-Raysuni na Kadhia ya Palestina!"
- Imepeperushwa katika Al-Waqiyah TV
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Maoni ya Kisiasa ya Kila Wiki
Maoni ya Kisiasa ya Kila Wiki
Maoni ya Kisiasa ya Kila Wiki
Maoni ya Kisiasa ya Kila Wiki
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia ilifanya mkutano wa waandishi habari mnamo Alhamisi asubuhi, Julai 2, 2020 kwa anwani "Mradi huu Unaweza Kuitoa Tunisia kutokana na Mfumo wa Majanga." Mkutano huu wa waandishi habari ulifanywa katika makao yake makuu yaliyoko makutano ya Sakra-Ariana katika mji mkuu.