Afisi Kuu ya Habari: Ulinganizi wa Kiulimwengu wa Kusimamisha Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume Sehemu ya 47
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Mnamo 11 Julai, 1995, majeshi ya Serbia yalivamia eneo la Waislamu la Srebrenica nchini Bosnia ambapo maelfu ya Waislamu walikuwa wametafuta himaya kutokana na mashambulizi ya jeshi la Serbia kaskazini mashariki mwa Bosnia.
Mnamo 11 Julai, 1995, majeshi ya Serb yalivamia eneo la Waislamu la Srebrenica nchini Bosnia ambapo maelfu ya Waislamu walikuwa wametafuta himaya kutokana na mashambulizi ya jeshi la Serbia kaskazini mashariki mwa Bosnia.
Maoni ya Kisiasa ya Kila Wiki