Jumanne, 20 Shawwal 1447 | 2026/04/07
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu
kesho kutwa

kesho kutwa

Barua ya Wazi kwa Mkurugenzi Mkuu wa ASIO Mike Burgess kutoka Hizb ut Tahrir / Australia

Kuhusu Khilafah, jaribio lako la kutia matope maji lilionekana wazi zaidi ulipopotoka wakati wa majadiliano yako ya baada ya muhadhara. Kwanza, ombi lako la mila za chuki dhidi ya Uislamu linawachora Waislamu kama daraja za tano katika nchi hii, inayothibitishwa kupitia kuwepo kwao tu, inazidi mipaka yote ya usawa na kutokuwa na upendeleo. Muhadhara huu kamwe haukuwa kuhusu kuwasilisha ukweli bali kuhusu kuendeleza ajenda.

Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon: Kongamano la Khilafah la kila Mwaka “Kuhalalisha Mahusiano na Kujisalimisha au Ahadi ya Mwenyezi Mungu na Dola ya Kiislamu?!”

Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon yaandaa kongamano lake la kila mwaka kwa kichwa: “Kuhalalisha Mahusiano na Kujisalimisha au Ahadi ya Mwenyezi Mungu na Dola ya Kiislamu?!” Kwa mnasaba wa kumbukumbu uchungu ya miaka 105 ya kuvunjwa kwa dola ya Khilafah mnamo 28 Rajab 1342 H sawia na 3 Machi 1924 M

Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan Ilifanya Kisimamo na Hotuba ya Hadhara huko Nile Mashariki jijini Khartoum

Mashababu wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan huko Nile Mashariki jijini Khartoum walifanya, mnamo Jumamosi, 10/01/2026, kisimamo na hotuba ya hadhara ya kisiasa huko Souq Sitta. Hotuba hiyo ilitolewa na Ustadh Hammad Al-Dayi, mwanachama wa Hizb, ambapo alielezea ubora wa Ummah huu, ambao ulitimiza wajibu wake katika kuwaongoza wanadamu chini ya Dola ya Khilafah, hadi ilipovunjwa na mkoloni kafiri mnamo Rajab 1342 H. Aliukumbusha Ummah kuhusu tukio hili uchungu, na jinsi, kwa kuvunjwa Khilafah, ulivyompoteza Imam ambaye ni ngao, umoja wake na kuchanika vipande vipande, na mkoloni kafiri akapata udhibiti juu yake ili kugawanya ardhi zake.

Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu