Hizb ut Tahrir / Wilaya Lebanon: Uungaji Mkono Wafungwa wa Kiislamu na Upingaji Sera ya Vipimo Viwili!
- Imepeperushwa katika Lebanon
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Hotuba ya Dkt. Mohamed Ibrahim, Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Wilaya Lebanon katika Maandamano, ambapo alialikwa na jamaa za wafungwa wa Kiislamu jijini Tripoli – Uwanja wa Nour.



