Hizb ut Tahrir / Wilaya Lebanon: Kalima za Mashabab wa Hizb ut Tahrir, Hapana kwa Vifo vya Maporomoko!
- Imepeperushwa katika Lebanon
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Kalima za Mashabab wa Hizb ut Tahrir Wilaya Lebanon wakati wa mikao iliyo andaliwa katika maeneo ya Al Fawra na Jabal Terbol inayo pinga maporomoko ya taka katika maeneo haya.



