Jitihada za Hamdok Kuiweka Sudan chini ya Udhamini wa Kimataifa Zinaweza Kukoleza Kasi Mapinduzi ya Kijeshi Badala ya Kuyazuilia!!
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Katika kauli iliyotolewa Ijumaa, 24/4/2020, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipitisha ombi la Sudan kuidhinisha Umoja wa Mataifa kuzindua mpango wa kisiasa, chini ya sura ya sita, kuanzia Mei, (Sudan Tribune).



