Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 284
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Vichwa Vikuu vya Toleo 284
Vichwa Vikuu vya Toleo 284
Ulaya: Kongamano la Chuo Kikuu kwa anwani “Ujumbe wa Uislamu” ndani ya mji mkuu wa Ubelgiji Brussels
Mkutano huo ulianza kwa kusomwa aya za Qur’an Tukufu. Mada ya kwanza iliyo wasilishwa iligusia Umoja wa Waislamu. Muhadhara huo ulikuwa kuhusu Itikadi na kuwayeyusha watu na mataifa ndani ya chungu kimoja.
Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Ubelgiji ulikwenda katika Ubalozi wa serikali ya Pakistan uliopo jijini Brussel na kumkabidhi katibu wa pili taarifa mbili kwa vyombo vya habari zilizo tolewa na Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Wilayah ya Pakistan kuhusu kutekwa nyara kwa dada Romana na dada Dkt. Roshan.