Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Ubelgiji: Mkutano wa Hadhara, “Umoja wa Ummah”

Hizb ut Tahrir Ubelgiji iliandaa mkutano wa hadhara siku ya Jumapili Rabi al Awwal 1438 H  -  Disemba 04, 2016 M kwa anwani, “Umoja wa Ummah” ambao ulizungumzia nukta msingi.

Mkutano huo ulianza kwa kusomwa aya za Qur’an Tukufu. Mada ya kwanza iliyo wasilishwa iligusia Umoja wa Waislamu. Muhadhara huo ulikuwa kuhusu Itikadi na kuwayeyusha watu na mataifa ndani ya chungu kimoja.

Mada ya pili ilihusu Umoja wa Waislamu katika Magharibi na kwamba umoja huo umejengwa juu ya hatua zituatazo:

-Ndio katika Kuhifadhi Kitambulisho cha Kiislamu

-Hapana kwa wanachokiita Uoanishwaji

-Ndiyo kwa mujtamaa kuishi kwa pamoja

-Hapana katika Kukisahau Kitambulisho chetu na Maadili yetu ya Kiislamu

-Hapana katika Kuzitusi na Kuzikejeli Sehemu zetu Tukufu

 

Ulihitimishwa kwa msisitizo wa umuhimu wa kuufahamu uhalisia wa umoja unaotakiwa na Uislamu.

Ujumbe wa Afisi Ya Habari ya Hizb ut Tahrir Ulaya

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoIjumaa, 01 Mei 2020 06:37

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu