Urasilimali Hudanganya na Kuhofisha kwa Maslahi ya Kidunia!
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Waziri wa Mambo ya Ndani ametuma ziada ya waraka kuhusiana na tahadhari ya virusi vya Korona katika serikali za majimbo 81.
Waziri wa Mambo ya Ndani ametuma ziada ya waraka kuhusiana na tahadhari ya virusi vya Korona katika serikali za majimbo 81.
Rais wa Urusi Vladimir Putin mnamo Februari 20, 2020 katika mkutano mkuu wa mwaka wa Bodi ya FSB alisema:
Ufahamu wa jambo msingi katika Uislamu la Jihadi umetatanishwa kwa makusudi. Mataifa ya kikoloni na viongozi wao vibaraka wamekuwa mstari wa mbele katika njama hizi.
Katika kumbukumbu ya 99 ya kuvunjwa kwa Khilafah huko Istanbul, ni juu yetu kumkumbuka mmoja wa masahaba wakubwa wa Mtume (saw), Abu Ayyub Al-Ansari, alikuwa ni miongoni mwa watiaji hamasa wakubwa kwa jeshi la Sultan Fatih kuhakikisha kufikiwa bishara ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) katika kuiteka Konstantinopoli (ambayo baadaye ikawa Istanbul).