Utawala Usiokuwa na Ruwaza wa Bajwa-Imran Inaunyonga Uchumi Wetu Hadi Kuukosesha Uhai, kwa Kutekeleza Sera za Kikoloni za Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF)
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Tulishangazwa na mfumko mkubwa mno wa bei ambao hatujawahi kuuona katika miaka kumi na mbili, wa asilimia 14.5, mnamo Januari 2020, huku mfumko wa bei za vyakula ukisimama pabaya kwa asilimia 20.



