Ramadhan Inamalizika Lakini Majanga Yanaendelea
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Mwezi mtukufu wa Ramadhan unamalizika katika hali ile ile kama ulivyoanza kwa Ummah wa Kiislamu kukosa mtu wa kuwalinda maisha yao wala mali zao.
Mwezi mtukufu wa Ramadhan unamalizika katika hali ile ile kama ulivyoanza kwa Ummah wa Kiislamu kukosa mtu wa kuwalinda maisha yao wala mali zao.
Kila matukio haya na mfano wake yanapotokea, vidole vya lawama huelekezewa Waislamu hata kabla ya uchunguzi wa sawasawa kufanywa na yanayofuata baadaye huwa ni misururu ya misako ya polisi inayopelekea Waislamu wengi kukamatwa.
Mnamo Jumapili 2 Februari 2014, polisi wa Kenya walivamia Msikiti Musa mtaani Majengo eneo la Mombasa kwa kisingizio cha kirongo kuwa ndani ya msikiti huo walikuwemo vijana wa Kiislamu waliokuwa wakifunzwa mbinu za kijeshi na kusajiliwa kujiunga na Al-Shabaab ambayo imetangaza vita nchini Somalia.
Vichwa Vikuu vya Toleo 278