Kampeni ya Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Vita vya Uchina Dhidi ya Uislamu ndani ya Turkestan Mashariki Vitasitishwa na Khilafah Rashidah---
- Imepeperushwa katika Kampeni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir imezindua kampeni pana ya kufichua ukweli kutokana na mzozo wa Uchina na Waislamu walioko Turkestan Mashariki ambao wanaendelea kupitia kampeni ya mauaji kutoka kwa Uchina tangu 1863.



