Bajeti ya Kenya ya Mwaka 2018/2019 Ni Kitanzi Kizito Shingoni mwa Raia Walokata Tamaa!
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Mapendekezo ya ushuru yaliyowasilishwa kupitia Mswada wa Fedha wa 2018 yameandaliwa kuzalisha ongezeko la mapato ya ushuru la shilingi bilioni 27.5 la mwaka wa matumizi ya serikali wa 2018/2019.



