Amerika Yakazanisha Kitanzi Katika Shingo ya Somalia Kupitia Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na Benki ya Dunia (WB)
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Imeripotiwa kuwa Somalia imetimiza masharti yote 27 ya fedha ulimwenguni ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ambayo yaliwekwa ili kuipa afueni kutokana na deni lake lililopo (Radio Dalsan, 22/09/2018).



