Sera za India ndani ya Kashmir Zinalenga Kuwateka Nyara Watoto Waislamu
- Imepeperushwa katika Kitengo cha Wanawake Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Mnamo 15 Agosti 2019, gazeti la UK, The Telegraph liliripoti kuhusu utekaji nyara unaotamausha wa watoto wa Kashmir kufuatia jaribio la India kuliteka eneo ililolivamia la Kashmir.



