Sehemu Ambapo Hizb ut Tahrir Inafanya Kazi yake
- Imepeperushwa katika Kutuhusu
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Licha ya Uislamu kuwa ni mfumo wa kiulimwengu, lakini njia yake haimruhusu yeyote kuifanyiakazi kiulimwengu tokea mwanzoni.
Licha ya Uislamu kuwa ni mfumo wa kiulimwengu, lakini njia yake haimruhusu yeyote kuifanyiakazi kiulimwengu tokea mwanzoni.
Amiri wa Hizb utTahrir ni Alim, Sheikh Ata Abu Rashta (majina kamili Sheikh Abu Yasin Ata ibn Khalil ibn Ahmad ibn Abdul Qadir al-Khatib Abu Rashta). Ni mwanasheria, mwanachuoni na mwandishi wa Kiislamu.
Kazi ya Hizb ut Tahrir ni kubeba da’wah ya Uislamu ili kubadilisha hali ya mujtama fisidifu ili kuugeuza kuwa mujtama wa Kiislamu.
Chama kinawakubali Waislamu wanaume na wanawake kuwa wanachama wake pasina na kuzingatia kuwa ni Waarabu au la, au rangi fulani kwa kuwa ni chama cha Waislamu wote.