Jibu la Swali: Mvutano kati ya Marekani na China juu ya Taiwan
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ni nini kinachosababisha mvutano kati ya Marekani na China kuhusu Taiwan? Je, nia gani zinazosababisha mvutano huu? Kwa nini Marekani iliichokoza China kwa ziara ya Spika wa Baraza la Wawakilishi na wajumbe wengine wa Congress nchini Taiwan? Ni nini umuhimu wa kisiwa hicho kwa China na Amerika? Je, mambo yanaelekea kwenye vita au kwa utulivu?