Hizb ut Tahrir / Uingereza: Kongamano “Jibuni Wito: Ikomboeni Palestina!”
- Imepeperushwa katika Uingereza
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir nchini Uingereza iliandaa kongamano kubwa kwa kichwa:
“Jibuni Wito: Ikomboeni Palestina!”
Hizb ut Tahrir nchini Uingereza iliandaa kongamano kubwa kwa kichwa:
“Jibuni Wito: Ikomboeni Palestina!”
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki iliandaa makongamano makubwa ya halaiki katika miji na maeneo Hamsini chini ya kichwa:
“Ujasiri wa Upinzani dhidi ya Ukaliwaji Kimabavu!”
Uhalifu mwingine mpya imeongezwa katika orodha ya ukatili unaofanywa na serikali ya China inayoendesha vita vikali dhidi ya Uislamu na Waislamu. Utawala wa China ulitangaza kifo cha Syed Jahan Muhammad Khanovich Nodirov kutoka Andijan, mwanachama wa Hizb ut Tahrir, mnamo Novemba 28, 2023.
Huku umbile halifu la Mayahudi (Wazayuni) likiendelea na ulipuaji mabomu wa kinyama na kikatili wa Gaza, wanawake na watoto ndio wanaohimili uzito wa mauaji haya ya halaiki ambayo yamesababisha vifo na majeraha kwa zaidi ya wanaume na wanawake wa Kiislamu elfu 72 hadi kufikia sasa
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki, iliandaa matembezi makubwa ya halaiki na amali pana katika eneo la Al-Tatih jijini Istanbul yenye kichwa:
“Sauti Moja na Moyo Mmoja kwa ajili ya Gaza!”
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki, iliandaa msururu wa makongamano, mikutano, semina, na amali pana za kuinua ufahamu wa Waislamu kwamba Umma wa Kiislamu lazima uyasukuma majeshi kusonga ili kuwanusuru Waislamu wanyonge katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na najisi ya Mayahudi wa wauaji wahalifu.
Chini ya kauli mbiu (Enyi Umma wa Kiislamu, Nusra Nusra, Tusaidieni kabla Hatujamalizika), Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa Palestina iliandaa kisimamo kikubwa katika mji wa Al-Khalil mnamo Jumanne, 12 Disemba 2023 M, ambapo watu wa Palestina wanaume kwa wanawake, walielekeza wito wa haraka kwa Umma na majeshi yake na nguvu zake zilizo hai kutaharaki kwa haraka kunusuru Gaza na damu ya watoto wake, na kwa Palestina na watu wake na Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa.
Hizb ut Tahrir/ Uholanzi: Semina
Matembezi katika Mji wa The Hague ya Kuyahamasisha Majeshi ya Waislamu Kuinusuru Gaza!
Kitengo cha wanawake cha Hizb ut Tahrir katika wilayah ya Lebanon, leo, Jumapili, kilifanya semina katika mji mkuu, Beirut, ndani ya wigo wa siku ya kufanya kazi ya wanawake ulimwenguni kwa ajili ya Palestina kuyalingania majeshi ya Waislamu kuwaokoa wanawake wa Gaza na watoto wake na kuikomboa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina), mbele ya uhudhuriaji wa wanawake.
Kampeni ya Kiulimwengu na Siku ya Wanawake Kuchukua Hatua Kuyaamsha Majeshi ya Waislamu na Wito kwao Kuwaokoa Wanawake wa Gaza na Watoto wake na Ukombozi Kamili wa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)