Minbar ya Ummah: Maandamano kutoka kwa Watu na Waheshimiwa wa Al-Muharrar katika Barabara Kuu ya M4
- Imepeperushwa katika Minbar Ummah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Maandamano yaliyofanywa na watu pamoja na waheshimiwa wa Al-Muharrar katika barabara kuu ya M4 wakipinga kufunguliwa kwa barabara na kuruhusu kupigwa doria, yaliyopewa jina, "Hatutakubali mbadala isipokua kuanguka kwa Utawala"