Al-Waqiyah TV: Je, Mwenyezi Mungu ﷻ Ametuamrisha Kutumia Neno “Khilafah” Pekee?!
- Imepeperushwa katika Al-Waqiyah TV
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Al-Waqiyah TV: Je, Mwenyezi Mungu ﷻ Ametuamrisha Kutumia Neno “Khilafah” Pekee?!
Al-Waqiyah TV: Je, Mwenyezi Mungu ﷻ Ametuamrisha Kutumia Neno “Khilafah” Pekee?!
Khilafah ni Izza na Njia ya Wokovu kwa Wanadamu! Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mwaka wa 104 H wa kuvunjwa dola ya Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab al-Muharram 1342 H sawia na 03/03/1924 M mikononi mwa wahalifu wa Kiarabu na Kituruki.
Enyi, Jeshi la Pakistan! Mzamisheni Trump Firauni wa Marekani katika Bahari ya Gaza kwa Kusimamisha Khilafah!
Mfano wa Ukraine Unathibitisha Hatari ya Ukoloni wa Kijeshi!
Ramadhan ya Mwaka Huu, Yaupasa Umma na Majeshi yake Wakabiliana na Dhulma ya Ukoloni wa Marekani!
Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 104 Hijria ya kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah (miaka 101 M), Hizb ut Tahrir/Wilayah Uturuki iliandaa Kongamano la kila mwaka la Khilafah kwa ushiriki mpana chini ya kichwa: “Kujenga Mustakabali pamoja na Khilafah kutoka Istanbul hadi Al-Qudsi!”
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wageni wa kurasa za Afisi Kuu ya Habari katika mwezi uliobarikiwa wa Ramadhan mwaka huu, 1446 H (2025 M), silsila mpya ya vipindi vya Al-Waqiyah TV vyenye kichwa “Tafakafi,” vilivyotayarishwa na kuwasilishwa na Mhandisi Baher Saleh, Mwanachama wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir.
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Kampeni ya Kitengo cha Wanawake ya Ramadhan: “Ramadhan ni njia ya mafanikio”