Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 495
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Enyi Waislamu: Inatosha sasa. Ukatili unaofanywa na Mayahudi kwa watu, miti na mawe hauhesabiki! Sasa wanavamia kivuko cha Rafah, ambacho utawala wa Misri ulikichulia kuwa mstari mwekundu ambao haungekaa kimya kuhusu uvamizi dhidi yake.
Maelfu walishiriki katika matembezi makubwa yaliyoitishwa na Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na watu mashuhuri wa mji wa Hebron (Al-Khalil) kuinusuru Rafah na kuokoa kile kilichobaki cha Gaza.
Enyi Waislamu: Hakika munaona jinai za Mayahudi kwenye kivuko cha Rafah na Gaza, bali Palestina yote, na watawala hawahamasishi jeshi kuinusuru, bali wanasahau mistari yao mekundu!
Naveed Butt Amepotezwa kwa Nguvu Tangu 11 Mei 2012 M kwa sababu Alisema Neno la Haki mbele ya Watawala Madhalimu!
Kutekwa nyara kwa Naveed Butt tangu tarehe 11 Mei 2012, ni dhambi kubwa na ukiukaji wa wazi wa haki za binadamu. Hakuna kesi ya ugaidi, uasi au uhaini iliyosajiliwa dhidi ya Naveed Butt. Zaidi ya hayo, hakuna kesi hata ya kumdhuru nzi, au kung'oa jani kutoka kwa mti, ya Naveed Butt mwenye huruma na mkarimu.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Enyi Waislamu wa Vikosi vya Jeshi la Pakistan! Kuweni Upande wa Ummah dhidi ya watawala wasaliti ili kulinda Dini na Akhera yenu!
Kupotezwa kwa Nguvu kwa Naveed Butt Tangu 11 Mei 2012 M Kunafichua Uongo wa Demokrasia na Uhuru wa Kujieleza!