Hizb ut Tahrir/ Uingereza: Kufaidika kutokana na Ufukara!
- Imepeperushwa katika Uingereza
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Uingereza inashuhudia kupanda kwa kasi kwa gharama ya bidhaa za kila siku, na kusababisha ugumu mkubwa zaidi kwa maskini na wanaoishi katika mazingira magumu.