Jumatano, 25 Muharram 1446 | 2024/07/31
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi Al-Hajj Yussuf Al-Awadhi (Abu Ayman)

Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Jordan inamuomboleza mbebaji Da`wah, Hajj Yussuf Muhammad Al-Awadhi (Abu Ayman), aliyekwenda kwenye rehema za Mwenyezi Mungu jana, Jumanne 30/11/2021 akiwa na umri wa miaka 80 ambayo aliitumia katika kumtii Mwenyezi Mungu na kubeba ulinganizi wa kuanzisha tena maisha kamili ya Kiislamu kupitia kusimamisha Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir/ Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina: Maandamano ya Halaiki ya Hizb ut Tahrir ya Kuionya Al-Khalil juu ya Njama Chafu na Kuishutumu Mamlaka ya Palestina kwa Kushiriki katika Njama Hizo!

Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina ilionya juu ya njama chafu ya kuishambulia Al-Khalil kwa kutumia mizozo ya kifamilia na kuibua taharuki kwa kuzifinika kwa kufiniko cha ukoo.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu