Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 364
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kikao Maalum juu ya risala iliyotumwa na Hizb ut Tahrir pamoja na ujumbe wa Mashababu wake bora kwenda kwa viongozi watano wa Taliban mwanzoni mwa mwezi Septemba 2021.
Dkt Abdul Wahid, Mwenyekiti wa Kamati Tekelezi ya Hizb ut Tahrir Uingereza, aelezea maslahi tofauti tofauti yaliyofungwa katika ajenda ya mabadiliko ya hali ya hewa - hayatokani na nia za dhati kwa ajili ya wanadamu
Wiki hii, mawaziri na wanadiplomasia kutoka sehemu mbalimbali za dunia wanakusanyika mjini Glasgow kwa ajili ya Kongamano la 26 la Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, linalolenga kutibu kile ambacho wengi wamekitaja kuwa "dharura ya hali ya hewa" inayoikabili sayari ya dunia.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan imekamilisha kampeni pana kwenye mitandao ya kijamii kwa anwani:
Leo tarehe 25/10/2021 wananchi wa Sudan wameamkia kuibuka kwa vuguvugu kutoka kwa jeshi lililowakamata baadhi ya mawaziri pamoja na idadi kadhaa ya washiriki katika serikali ya mpito ya kiraia na kisha kukamatwa kwa Waziri Mkuu Hamdok mwenyewe...
Maoni kwa Vyombo vya Habari ya Dkt. Ibrahim Al-Tamimi
Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Jordan inaomboleza kifo cha mbebaji Dawah: Hajj Abd Al-Raouf Muhammad Alyan Bani Atta (Abu Hudhayfah) ambaye alikwenda kwa rehema za Mwenyezi Mungu (swt) jana, Alhamisi 21/10/2021 akiwa na umri wa miaka 60;