Jumanne, 24 Muharram 1446 | 2024/07/30
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Uingereza: Visimamo Viwili vya Kuunusuru Msikiti wa Al-Aqsa Uliobarikiwa!

Chini ya mazingira ya kambi juu ya Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kutokana na mashambulizi endelevu ya umbile la Kiyahudi dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa na kuzingirwa kwake na makombora ambayo yamekuwa yakiendelea kwa miaka 15 kwenye Ukanda wa Gaza, Hizb ut-Tahrir / Uingereza iliandaa visimamo viwili jijini London na Birmingham vya kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina).

Soma zaidi...

Denmark: Maandamano Mbele ya Ubalozi wa Misri ya Kuunusuru Msikiti wa Al-Aqsa Uliobarikiwa!

Chini ya mazingira ya kambi kwenye Ardhi iliyobarikiwa (Palestina) kutokana na mashambulizi endelevu ya umbile la Kiyahudi dhidi ya Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na kuzingirwa kwake na makombora ambayo yamekuwa yakiendelea kwa miaka 15 kwenye Ukanda wa Gaza, Hizb ut- Tahrir / Denmark iliandaa maandamano mbele ya ubalozi wa Misri jijini Copenhagen kwa anwani:  

Soma zaidi...

Wilayah ya Syria: Amali za Nusra kwa Msikiti wa Al-Aqsa na Ardhi Iliyobarikiwa

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa msururu wa visimamo na maandamano kukemea unyanyasaji wa kinyama wa umbile la Kiyahudi dhidi ya wenye kuswali na kufanya itikaf katika Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa, ambao ulisababisha kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 600, wengi wao wakiwa vibaya, majeraha ya moja kwa moja kichwani.

Soma zaidi...

Enyi Majeshi ya Waislamu, Je Hakuna Muongofu Miongoni Mwenu? Gaza, Al-Quds na Palestina Nzima Zinateketea kwa Moto wa Mayahudi Ilhali Mumekaa Kimya!

Mayahudi makatili wanaeneza mashambulizi yao ya kinyama katika maeneo yote ya Palestina, haswa Masra (eneo la Isra') ya Mtume (saw) na Gaza ya kishujaa, na kuchoma moto mawe na miti, na kumwaga damu, na waliojeruhiwa miongoni mwa watu wa Palestina wanazidi kuongezeka. 

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu