Jumatatu, 23 Muharram 1446 | 2024/07/29
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Kuitaka Idhaa ya Mosaïque FM Haki ya Kumjibu Mwanahabari, Ziyad Kreishan

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia imeitaka idhaa ya Mosaïque FM haki ya kujibu taarifa za mwanahabari Ziyad Kreishan na ambaye amemtaja kila anaye tabanni fikra ya (halali na haramu) kuwa na msimamo mkali na hilo ni kupitia kipindi "Media Show" kwenye matangazo ya idhaa ya Mosaïque FM.

Soma zaidi...

Wilaya Syria: Kisimamo "Sisi ni Watu wa As-Sham Waumini Kamwe Hatuwakilishwi na Yule Anayekubali Kuweka Mkono Wake Pamoja na Mkono wa Muuwaji Putin!"

Hizb ut Tahrir / Wilaya Syria iliandaa kisimamo kwa anwani "Sisi ni Watu wa As-Sham Waumini Kamwe Hatuwakilishwi na Yule Anayekubali Kuweka Mkono Wake Pamoja na mkono wa Muuwaji Putin!" katika makutano ya Deir Ballut mjini Atmaa viungani mwa Idlib.

Soma zaidi...

Al-Waqiyah TV: Naveed Butt, Mbebaji Ulinganizi wa Khilafah, Nembo ya Upinzani dhidi ya Uvamizi wa Kiamerika Aliye Zuiliwa katika Korokoro za Siri za Ukandamizaji za Vyombo vya Usalama!

Mnamo tarehe 11 Mei 2020 M, ilisadifu kuwa ni kumbukumbu ya nane ya kutekwa nyara Naveed Butt, Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Pakistan, ukamataji wake ulitimia katika korokoro za siri za ukandamizaji za vyombo vya usalama.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu