Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 277
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 277
Vichwa Vikuu vya Toleo 277
KUALA LUMPUR, Tarehe 6 Machi, 2020. Licha ya kuwepo na machafuko ya kisiasa nchini Malaysia, Hizb ut Tahrir / Malaysia (HTM) haikusahau madhila ya Waislamu nchini India ambao wanauliwa na Wahindu wenye misimamo mikali wakipata idhini ya Waziri Mkuu Narendra Modi.
Katika mwezi wa Rajab al-Muharram wa Mwaka huu 1441 H sawia na 2020M na katika kukumbuka kwa majonzi namna wahalifu walivyoivunja Dola ya Kiislamu na kuuondosha utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo 28 Rajab al-Muharram 1342 H sawia na 3 Machi 1924 M.
Minbar ya Ummah: Wanawake kutoka Vijijini mwa Aleppo Wakiwakumbusha Kaka zetu namna Mapinduzi yawe kwa ajili ya Mwenyezi Mungu (swt) na Kuyataka Mapinduzi Yarudishwe yawe ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu (swt)
Vichwa Vikuu vya Toleo 276
Katika Ukumbusho wa 99 wa Kuvunjwa kwa Khilafah 1441 H - 2020 M, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki ilifanya kongamano ndani ya Istanbul kwa kichwa, “Kuanzia katika Familia hadi Dola – Ujenzi wa Mujitama wa Kiislamu.”
Amekufa ShahidI, kwa idhini ya Mwenyezi Mungu (swt), Hasan Duwaik (Abu Adnan), Mwenyezi Mungu amrehemu na hatumtakasi yeyote mbele ya Mwenyezi Mungu (swt)
Waheshimiwa, Wanamapinduzi, na Waaminifu wanaeleza mpango wa hatua ya kuwaondoa maadui wa mashambani kaskazini mwa Idlib.
Taarifa kutoka kwa kundi la familia na watu mashuhuri katika mji wa Kalelee A-Khansa’ ziko katika tathmini ya ushindi na wanaunga mkono kwa vikundi vingi vya wanamapinduzi huru.
Vichwa Vikuu vya Toleo 275