Wilayah Syria: Kisimamo cha Kambi za Atma "Hakika Limekwisha Semwa na Watu Wetu Huko Hauran; Tutazisalimisha Roho na Wala Hatutazisalimisha Silaha!"
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika kambi za Atma Magharibi mkabala na kijiji cha Ataa kwa anwani: "Hakika Limekwisha Semwa na Watu Wetu Huko Hauran;Tutazisalimisha Roho na Wala Hatutazisalimisha Silaha!"



