Hizb ut Tahrir /Ardhi ya Baraka Palestina: Hizb ut Tahrir Iliandaa Maandamano Makubwa katika miji ya Ramallah na Jenin Kupinga Mpango wa Trump na Kuandaa Majeshi ya Waislamu
- Imepeperushwa katika Palestina
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir katika Ardhi Tukufu ya Palestina iliandaa maandamano makubwa katika miji ya Ramallah na Jenin siku ya Jumamosi, 15 Februari, 2020 kupinga mpango wa Trump na suluhisho la kikoloni.