Alhamisi, 09 Shawwal 1445 | 2024/04/18
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Minbar ya Ummah: Maandamano ya Atma "Daraa Imethibitisha Udhaifu wa Serikali na Usaliti wa Viongozi wa Makundi!"

Maandamano katika mkusanyiko wa kambi za Atma Magharibi viungani mwa Idlib kwa ajili ya kuwanusuru watu wa Daraa kwa anwani "Daraa Imethibitisha Udhaifu wa Serikali na Usaliti wa Viongozi wa Makundi!"

Ijumaa, 27 Dhu al-Hijjah 1442 H sawia na 06 Agosti 2021 M

- Kalima Wakati wa Maandamao ya Mkusanyiko wa Kambi za Atma Magharibi -

Kumbuka: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watoto wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watoto wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri kwa ajili ya Uislamu na Waislamu.

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu