Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Minbar ya Ummah: Kisimamo katika Kambi za al-Karameh

[فَلَا تَخَافُوهُمْ وَخَافُونِ إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ]

"Basi msiwaogope, bali niogopeni Mimi mkiwa nyinyi ni Waumini."

Kisimamo cha watu wa viunga vya Hama na Idlib katika kambi za Al-Karamah mbele ya Msikiti wa Walinganizi wa Kuwait chini ya anwani:

[فَلَا تَخَافُوهُمْ وَخَافُونِ إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ]

"Basi msiwaogope, bali niogopeni Mimi mkiwa nyinyi ni Waumini."

Ijumaa, 29 Safar al-Khair 1442 H, sawia na 16 Oktoba 2020 M

Kumbuka: "Minbar ya Ummah" ni chaneli maalumu inayopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watoto wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watoto wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri kwa ajili ya Uislamu na Waislamu.

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumamosi, 24 Oktoba 2020 09:26

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu