Kwa Viongozi wa Muongozo wa Utoaji Fatwa wa Kiulimwengu Harakisheni na Mutubie Kabla Hamujachelewa!
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katikati ya vita muhimu mno vinavyo piganwa na Ummah pamoja na vijana wake, wanaume kwa wanawake, wazee wa kiume na wazee wa kike, na watoto wake waliofariki, waliokufa mashahidi kutokana na sera za kihalifu za Firauni wa zama hizi,