Mohammad Bin Salman Anawakabidhi Waislamu wa Uyghur kwa Madhalimu Wao
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mohammad Bin Salman anatafuta njia kadha wa kadha za kubakia mamlakani kwa gharama yoyote hata ikiwa inahitaji kumkhini Mwenyezi Mungu na Mtume wake na waumini.