Jumatano, 30 Safar 1446 | 2024/09/04
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan Wakutana na Mkurugenzi wa Vipindi katika Televisheni ya Taifa (Omdurman)

Katika muendelezo wa mikutano ya wajumbe wa Hizb ut Tahrir/Wilaya ya Sudan na viongozi wa serikali, na ndani ya wigo wa kampeni ya hizb ya kupambana na mihadarati, ujumbe kutoka hizb, ukiongozwa na Ustadh Muhammad Jami (Abu Ayman)- Msaidizi wa Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan

Soma zaidi...

Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan Wakutana na Mkurugenzi wa Idara Kuu ya Udhibiti wa Mihadarati na Wasaidizi wake

Leo Jumapili tarehe 19/02/2023 ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir/Wilaya ya Sudan ukiongozwa na Ustadh Nasir Ridha Muhammad Othman - Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir/Wilaya ya Sudan, ukiandamana na Wakili Ahmad Abkar - Mjumbe wa Kamati ya Hizb ut Tahrir/Wilaya ya Sudan

Soma zaidi...

Katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa Khilafah, Yemen na Nchi Zote za Kiislamu zimo katika Misiba. Kumbukumbu Hii na iwe ni Kichocheo cha Hatua ya Kuisimamisha

Katika siku hii, tarehe ishirini na nane ya mwezi wa Rajab al-Khair katika mwaka wa 1342 H, sawia na tarehe tatu ya mwezi Machi mwaka wa 1924 M, uhalifu mkubwa zaidi dhidi ya Waislamu ulifanyika, wakati Magharibi kafiri, ikiongozwa na Uingereza, iliweza kuivunja dola ya Kiislamu.

Soma zaidi...

Tatizo la Kiuchumi nchini Jordan Kimsingi ni Tatizo la Kisiasa, na halitatatuliwa isipokuwa kupitia Mfumo wa Kiuchumi wa Kiislamu kwa kuregea Dola ya Khilafah

Haikutarajiwa kamwe kwamba Baraza la Wawakilishi, lenye kiwango cha 75% ya waliohudhuria, lingeidhinisha sheria jumla ya bajeti ya mwaka wa fedha wa 2023, licha ya ukosoaji mkali wa mswada huo wakati wa vikao vya mijadala ya siku 3 kutokana na nakisi ya kifedha, riba kubwa (riba) ya deni la umma, na kukosekana mipango, miradi na mikakati inayokuza ukuaji wa uchumi.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki Yawaomboleza Mashababu wake Wawili Waaminifu Hanafi Salman na Bahauddin Anghai Na Mmoja wa Dada zake wenye Ikhlasi Maqbula Yakar Angay

Katika tetemeko la ardhi tulilolishuhudiwa mnamo Jumatatu, Februari 6, 2023, wawili wa Mashababu wetu waaminifu na mmoja wa dada zetu wema walibaki chini ya kifusi hadi waliposalimisha roho zao kwa Mwingi wa Rehema

Soma zaidi...

Palestina Inakombolewa kwa Majeshi, Sio kwa Makongamano na Sheria ya Kimataifa

“Wakati umewadia wa amani...” Risala za Al-Sisi kutoka kwa Kongamano wa Kuinusuru Al-Quds, chini ya kichwa hiki Gazeti la Al-Dustour liliandika mnamo Jumapili 12/2/2023, kuwasilisha kile lilichokiita risala za rais wa Misri, ambaye alisema: Kadhia ya Palestina bado ni kipaumbele kwa Misri na Waarabu.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu