Jumatano, 30 Safar 1446 | 2024/09/04
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Uamuzi juu ya LGBT ni Dhihirisho la Itikadi ya Kisekula na Muundo wa Siasa ya Kidemokrasia

Mahakama ya upeo nchini Kenya imeamua kuwa jumuiya ya Wasagaji, Mashoga, Wapenda jinsia mbili, Wanaobadili jinsia  (LGBTQ) wana haki ya kujumuika. Uamuzi huo sasa unamaanisha hatua ya kukataa kwa Bodi ya Uratibu ya mashirika yasokuwa ya kiserikali (NGOs) kusajili kikundi hiki ni ukiukaji wa haki za binadamu zinazolinda watu wenye msimamo huu wa kingono.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu