Alhamisi, 03 Rabi' al-awwal 1446 | 2024/09/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Amerika, Urusi, China na Wafuasi Wao Wanacheza na Moto Na Hakuna Yeyote kati yao Aliyeko kwa ajili ya Manufaa ya Dunia

Imekuwa dhahiri kuwa Utawala wa Biden, una nia mbaya kama watangulizi wake. Katika kipindi cha miezi michache tu, umethibitisha kwamba katika madhumuni ya kudumisha ubabe wake juu ya uchumi wa dunia hauna tatizo lolote katika kuleta hali yoyote ya kisiasa duniani kwenye njia panda.

Soma zaidi...

Uongozi wa Kisiasa na Kijeshi wa Pakistan Umefungwa ndani ya Mapambano Duni ya Kung’ang’ania Utawala, Huku Maeneo Makubwa ya Nchi Yakikumbwa na Mafuriko

Maeneo makubwa ya Pakistan yanakumbwa na mafuriko kutokana na mvua kubwa za masika. Kulingana na NDMA, tangu Juni 12, watu 903 wamekufa, watu 1293 wamejeruhiwa, karibu nyumba 300,000 zimeharibiwa kwa kiasi na nyumba 200,000 zimeharibiwa kabisa.

Soma zaidi...

Pendekezo la Kupiga Marufuku Hijab ni Tangazo la Vita dhidi ya Jamii ya Kiislamu

Serikali mbalimbali za Denmark kwa muda mrefu zimefuata sera ya chuki dhidi ya Uislamu iliyo dhihirishwa kwa sheria zinazolenga maadili na mfumo wa maisha wa Kiislamu. Serikali ya sasa inataka kupiga hatua kubwa mbele katika mapambano yake ya kidhalimu ya kuwaoanisha kwa nguvu Waislamu nchini Denmark.

Soma zaidi...

Majibu kwa Vyombo vya Habari

Jibu la swali lako mwishoni mwa hotuba yako (neno mpendwa) katika safu yako ya usomaji (neno la heshima) katika Gazeti la Akhbar Al-Youm, lililochapishwa leo, Jumanne, Muharram 25, 1444 H, sawia na 08/23/2022 M, Toleo Na. 10770, ambapo ilikuja katika hotuba ya kupendeza zaidi:

Soma zaidi...

Ardhi ya Kisiwa cha Warraq ni ya Watu na Wakaazi wake Haijuzu Kuwafukuza wala Kuwalazimisha Waiuze

Kisiwa cha Al-Warraq ndicho kikubwa kati ya visiwa vya asili katika Mto Nile. Uamuzi ulitolewa mnamo 1998 kukichukulia kama hifadhi ya asili, na mnamo 2017, uamuzi ulitolewa na Waziri Mkuu wa kukiondoa kutoka katika uamuzi wa hifadhi za asili na kukifanya kuwa eneo la uwekezaji, na mnamo 2018 uamuzi ulitolewa kuanzisha jengo jipya la mji kwenye ardhi yake.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu