Alhamisi, 26 Shawwal 1446 | 2025/04/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Kenya

H.  20 Shawwal 1446 Na: 1446/08 H
M.  Ijumaa, 18 Aprili 2025

Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Hizb ut Tahrir / Kenya Yafanya Kisimamo cha kutoa Wito wa Amali ya Kijeshi dhidi ya Umbile la Mauaji ya Halaiki la Kiyahudi

(Imetafsiriwa)

Kufuatia mauaji ya halaiki yanayoendelea kufanywa na umbile la Kiyahudi dhidi ya watu wa Gaza, Hizb ut Tahrir/Kenya mnamo siku ya Ijumaa tarehe 18 Aprili, ilifanya ilifanya kisimamo baada ya Swala ya Jumaa jijini Mombasa na Nairobi. Katika Jiji la Pwani, kisimamo kilifanyika nje ya Masjid Nur huku Nairobi kikifanyika katika Masjid Hidaya mtaa wa Eastleagh. Mada kuu ya Kisimamo ilikuwa ni kuibua wito wa dhati kwa Majeshi katika nchi za Kiislamu kuvunja minyororo ambayo watawala wao wamewaweka katika kambi zao ili wasonge mara moja kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa kutoka katika makucha ya Mayahudi wanaoukalia kwa mabavu.

Kisimamo kilimalizika kwa kufanya mkutano mfupi na waandishi wa habari juu ya mashambulizi yanayoendelea dhidi ya watu wa Ardhi Iliyobarikiwa. Katika mkutano huo, Shabani Mwalimu (Mwakilishi kwa Vyombo vya Habari wa Hizb ut Tahrir Kenya), Ustadh Mahad Ali - Mwenyekiti wa CCC (Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir Kenya) pamoja na Ali Omar Mjumbe wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Kenya walisisitiza kuwa serikali pekee inayoweza kuhamasisha jeshi la Waislamu dhidi ya jeshi la umbile la Kiyahudi ni Dola ya Khilafah kwa njia ya Utume; ina uwezo wa kukomesha jeuri, kiburi na ubaguzi wa Wayahudi.

Kwa jumla, Ummah ulikumbushwa juu ya kazi yao adhimu ya kurudisha mfumo kamili wa maisha wa Kiislamu kwa kusimamisha tena dola ya Khilafah kwa njia ya Utume ambayo itayakusanya majeshi ya Waislamu dhidi ya umbile la Kiyahudi linaloungwa mkono na Magharibi.

Shabani Mwalimu
Mwakilishi kwa Vyombo vya Habari wa Tahrir
Kenya

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Kenya
Address & Website
Tel:  +254 707458907
E-Mail: mediarep@hizb.or.ke

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu