Jarida la Mukhtarat - Toleo 18
- Imepeperushwa katika Mukhtarat
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Jarida la Mukhtarat kutoka Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir. Toleo 18 Rajab 1434 H - Mei 2013 M
Jarida la Mukhtarat kutoka Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir. Toleo 18 Rajab 1434 H - Mei 2013 M
Jarida la Mukhtarat kutoka Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir. Toleo 19 Sha'aban 1434 H - Juni 2013 M
Jarida la Mukhtarat kutoka Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir. Toleo 20 Ramadan 1434 H - Julai 2013 M
Jarida la Mukhtarat kutoka Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir. Toleo 21 Shawwal 1434 H - Agosti 2013 M
Mnamo tarehe 4 Juni, mashua iliyokuwa na wakimbizi 81 wa Rohingya, wakiwemo wanawake 49 na watoto 11 iliegesha katika mwambao wa Kisiwa cha Idaman, karibu na pwani ya Mkoa wa Aceh Indonesia, baada ya kuelea kwa zaidi ya siku 100 baharini
Ni miaka tisa sasa tangu Huduma za Ujasusi za Pakistan (ISI) kumteka nyara Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Pakistan, Mhandisi Naveed Butt, mnamo Mei 11, 2012. Kuhusiana na tukio hili, Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Pakistan imetoa taarifa mbili kwa vyombo vya habari:
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan inaandaa kampeni pana katika mitandao ya kijamii kwa anwani "Khilafah Itaikomboa Pakistan Kutokana na Sera Angamivu za Mfuko wa Fedha wa Kimataifa" ili kuirudi bajeti iliyo wasilishwa na watawala wa Pakistan,
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika kambi za Deir Hassan viungani mwa Idlib baada ya swala ya Ijumaa ikiyataka makundi kufungua eneo la pwani ili kuiangusha serikali ya mhalifu.
Jarida la Mukhtarat kutoka Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir. Toleo 22 Dhu al-Qi'dah 1434 H - Septemba 2013 M
Jarida la Mukhtarat kutoka Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir. Toleo 23 Dhul hijjah 1434 H - Oktoba 2013 M