Jumanne, 24 Muharram 1446 | 2024/07/30
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Enyi Jeshi la Tunisia, Msikwepe Jukumu Lenu la Kuliondoa Umbile Nyakuzi la Kiyahudi Mashujaa wa Palestina Wamelitikisa Umbile hili la Adui basi Wanusuruni na Muziangamize Nguzo zake

Mnamo leo asubuhi, Jumamosi, 07/10/2023, siku moja baada ya kumbukumbu ya Vita vya Oktoba, mashujaa wa Ukanda wa Gaza walizindua shambulizi la ghafla na la kufuatana ardhini, baharini, na hewani, pamoja na kurusha makombora 5,000 na mabomu ndani ya dakika 20 za kwanza, katika operesheni inayoitwa kimbunga cha Al-Aqsa.

Soma zaidi...

Je! Wakati Haujafika kwa Maafisa Waheshimiwa wa Jordan Kunyanyuka ili Kuikomboa Palestina, wakati wakiona Kundi la Mujahidina Wametikisa Nguzo za Umbile Katili la Kiyahudi?

Katika dakika chache mnamo asubuhi ya Jumamosi, Oktoba 7, 2023, nguzo za umbile katili la Kiyahudi zilitikiswa, na jeshi lake la kioga likakimbia licha ya vifaa vyake, ala na nyumba za chuma, mbele ya kundi la Mujahidina ambao walivamia maeneo yake yaliyo nyakuliwa ardhini, baharini, na hewani, na vifaa vya kawaida, wakimtegemea Mwenyezi Mungu na kuwa na imani katika Nasr yake (ushindi).

Soma zaidi...

Wataalamu wa Haki Waonya dhidi ya Kutenganishwa kwa Nguvu kwa Watoto wa Uyghur nchini China

Mnamo tarehe 26 Septemba 2023, wataalamu watatu huru wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa waliripoti kwamba kuna utenganishwaji wa lazima na sera za lugha kwa Uyghur na watoto wengine wa Kiislamu walio wachache katika shule za bweni zinazomilikiwa na serikali katika mkoa wa Xinjiang nchini China, ambapo ni sawa na kuoanishwa kwa lazima ndani ya thaqafa ya Kichina.

Soma zaidi...

Jibu la Swali: Hadith «إِنَّ الإِسْلامَ يَجُبُّ مَا كَانَ قَـبْلَهُ» “Hakika Uislamu Hufuta Yale Yalikuwa Kabla Yake”

(Ama kushughulika na kesi zinazodhuru Uislamu na Waislamu, hii ni kwa sababu Mtume aliamuru kuuawa kwa watu wachache waliosababisha madhara kwa Uislamu na Waislamu katika zama za Jahiliyyah baada ya ufunguzi wa Makka, na hivyo waliuawa hata kama walijifunga kwenye mapazia ya Al-Kaaba, kwa kujua kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu amesema, "إن الإسلام يجب ما قبله" “Hakika Uislamu Hufuta Yale Yalikuwa Kabla Yake”

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu