Jumatano, 15 Rabi' al-awwal 1446 | 2024/09/18
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Chini ya Uchumi wa Sasa wa Kibepari, ni Kipote cha Wacheche tu ndio Hufaidika na Miradi ya Maendeleo. Ni Chini ya Kivuli cha Khilafah Pekee, ndipo Miradi Italeta Ustawi kwa Maisha ya Watu

Mnamo 1 Agosti, 2023, Mkutano wa Madini wa Pakistan 2023 uliandaliwa kwa pamoja na Wizara ya Petroli na shirika la Barrack Gold Corporation. Katika hotuba yake, Waziri wa Kawi, Idara ya Petroli, Dkt. Musadik Malik aliwaalika wawekezaji wa kigeni kuwekeza katika sekta mbali mbali za Pakistan, haswa madini na uchimbaji madini.

Soma zaidi...

Sa’ad bin Muadh, Mkuu wa Ansar (ra)… Ni nani Sa’ad wa Ummah Huu hivi leo?!

Kuwataja watu wakubwa wa historia ya Uislamu, sio kama kutaja habari za kale zozote za “mashujaa” wa kihistoria. Tafauti baina ya historia ya Waislamu watukufu na “mashujaa” wa historia ni kuwa usomaji wa habari za Waislamu watukufu ni kwa sababu ya kufuata mifano yao. Tunafuata nyayo zao, na kuchukua mafunzo kutoka kwenye matendo yao ya kishujaa.

Soma zaidi...

Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Kenya Ulikutana na Sheikh Abdul Halim Hussain, Kadhi Mkuu wa Kenya

Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Kenya, ukiongozwa na Ustadh Mahd Ali, mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir Kenya, akiandamana na Ustadh Shaaban Mwalimu, mwakilishi kwa vyombo vya habari wa Hizb ut Tahrir Kenya, na Ustadh Shaaban Rajab, mwanachama wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahir Kenya, walikutana na Sheikh Abdul Halim Hussain, Kadhi Mkuu wa Kenya anayeishi jijini Nairobi.

Soma zaidi...

Kubadilisha Serikali kwa Takwimu Mpya za Uongozi si Lolote zaidi ya Kutia Viraka Mfumo!

Baada ya muda mfupi kufuatia kuchaguliwa kwa Shavkat Mirziyoyev kama rais kwa mara ya tatu, alianza mfululizo wa mageuzi, lengo kuu likiwa ni suala la wafanyikazi. Inafaa kukumbuka kuwa zaidi ya maafisa 80 kutoka ngazi mbalimbali za mahakama, masuala ya ndani na mfumo wa kodi walifutwa kazi.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir/Wilaya ya Tunisia Iliongoza Ujumbe kwenda kwa Wizara ya Uchumi na Mipango

Asubuhi ya leo Ijumaa, tarehe 4/8/2023, ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir/Wilayah Tunisia, ukijumuisha Mkuu wa Afisi ya Kisiasa, Ustadh Abdul Raouf Al-Amiri, Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano, Ustadh Yassin bin Yahya, na Mwanachama wa Kamati Kuu ya Mawasiliano, Ustadh Habib Al-Madini, uliomba mahojiano na Waziri wa Uchumi na Mipango, Ustadh Samir Said, kufuatia kile alichokitamka katika kikao cha mashauriano ya Bunge kilichofanyika mnamo Ijumaa tarehe 28/7/2023

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu