Jumamosi, 15 Muharram 1444 | 2022/08/13
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  23 Rabi' II 1443 Na: HTS 1443 / 11
M.  Jumanne, 30 Novemba 2021

 Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki Kikao cha Kadhia za Umma
(Imetafsiriwa)

Ni furaha kwetu sisi katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan kuwaalika ndugu zetu wanahabari, wanasiasa, wasomi na wanamaoni kuhudhuria na kushiriki katika Kikao cha Kadhia za Umma cha kila wiki ili kujadili masuala ya sasa.

Wiki hii kikao kitakuwa kwa anwani:

 Je, Makubaliano ya Kisiasa ndio Mlango wa Kutatua Mgogoro wa Utawala nchini Sudan?”

Wazungumzaji katika kikao:

1- Ustadh Nasir Ridha – Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan

2- Ustadh Abdul Qadir Abdul Rahman – Mwanachama wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan

Mwenyekiti ni Dkt. Nasr Ad-Din Hammad – Mwanachama wa Hizb ut Tahrir

Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan - Khartoum Mashariki / Barabara ya Al-Mak Nimr Magharibi makutano ya barabara ya 21 Oktoba.

Wakati: Jumamosi, 29 Rabi’ Al-Akhar 1443 H sawia na 4/12/2021 M - Saa Tano Asubuhi.

Wale ambao hawataweza kuhudhuria wanaweza kutufuatilia katika mitandao ifuatayo:

Ukurasa wa Vyuo Vikuu: https://www.facebook.com/tahrir1953/

Ukurasa wa Wilayah: https://www.facebook.com/HTSUDAN/

Chaneli ya YouTube ya Hizb:

https://www.youtube.com/channel/UCUwZ-FlOIDgnk2Mook_9M-A

Uwepo wako ni heshima kwetu na unanogesha mazungumzo

Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu