Jumatatu, 27 Rajab 1446 | 2025/01/27
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Syria

H.  21 Jumada I 1446 Na: 06 / 1446 H
M.  Jumamosi, 23 Novemba 2024

Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi

(Imetafsiriwa)

Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Syria inamuomboleza:

Ustadh Muhammad Hajj Sulayman Alaiwi Abu Ali

Mmoja wa wabebaji da’wah wa kwanza, ambaye alifariki dunia kwenda kwenye rehma na msamaha wa Mwenyezi Mungu akiwa na umri wa miaka sabiini mnamo siku ya Jumamosi, 23 Novemba 2024.

Yeye ni mmoja wa wanaume waliojitolea mhanga kwa ajili ya da’wah kwa miaka mingi, ambayo alikaa miaka kumi katika Gereza maarufu la Tadmor wakati wa utawala wa dhalimu Hafez al-Assad katika miaka ya thamanini, kisha akakamatwa tena mwaka wa 2000, kukaa katika Gereza la Sednaya kwa karibu miaka miwili.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu (swt) amlipe kwa kubeba da’wah na kwa yale aliyokutana nayo katika njia yake kwa daraja za juu kabisa za Pepo, na tunamuomba awatie moyo ndugu zake miongoni mwa wabebaji ulinganizi na familia yake na jamaa zake wote kwa subira njema, na tunasema yale tu yanayomridhisha Mwenyezi Mungu pekee: [[إِنَّا للهِ وَإِنَّا إِلَيْهِ رَاجِعُونَ  “Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye hakika tutarejea.” [Al-Baqara: 156].

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir

katika Wilayah Syria

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Syria
Address & Website
Tel: +8821644446132 Skype: TahrirSyria
www.tahrir-syria.info
E-Mail: media@tahrir-syria.info

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu