Jumatano, 15 Rajab 1446 | 2025/01/15
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Tunisia

H.  24 Rajab 1444 Na: 1444/18
M.  Jumatano, 15 Februari 2023

 Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Kongamano la kila Mwaka la Khilafah 2023 M
(Imetafsiriwa)

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia itafanya Kongamano lake la kila mwaka la Khilafah kwa kichwa:

Kuporomoka kwa Dola ya Kisasa na Hakuna Wokovu Isipokuwa kwa Dola ya Khilafah

Ambapo kundi la wasomi, mufakirina na wataalamu watashiriki, na hotuba za kongamano zitakuwa midahalo minne, kama ifuatavyo:

Mada 1: Kufeli kwa Dola ya Usasa na Demokrasia katika Ngazi Zote

Mada 2: Dola ya Khilafah State Itauokoa Ulimwengu kutokana na Dhulma ya Urasilimali na Demokrasia

Mada 3: Hizb ut Tahrir na Khilafah

Mada 4: Namna ya Kuisimamisha Khilafah na Bishara za Kusimama kwake

Kongamano hilo litafanyika, Mwenyezi Mungu akipenda, mnamo Jumamosi, tarehe 5 Sha’aban 1444 H, sawia na tarehe 25 Februari 2023 M, saa 10:30 asubuhi kwenye ukumbi wa semina, makutano ya barabara ya La Soukra - Ariana, jijini Tunis (mji mkuu). Litapeperushwa moja kwa moja na Al-Waqiyah TV, Mwenyezi Mungu akipenda.

Sisi katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir/Wilaya ya Tunisia tunafuraha kuwaalika Waislamu kwa jumla, na wanahabari, wanasiasa na wataalamu hasa, nchini Tunisia na nchi nyengine za Kiislamu, kushiriki katika kongamano hili, kuingiliana nalo na kuliangazia kwenye vyombo vya habari.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu kwamba kongamano hili liwe ni ufahamu na mwongozo kwa walimwengu.

Mwenyezi Mungu (swt) asema:

[يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُواْ اسْتَجِيبُواْ لِلّهِ وَلِلرَّسُولِ إِذَا دَعَاكُم لِمَا يُحْيِيكُمْ]

“Enyi mlio amini! Muitikieni Mwenyezi Mungu na Mtume anapo kuitieni jambo la kukupeni uzima wa milele.” [Al-Anfal: 24].

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Tunisia

Fuatilia na Usambaze Alama Ishara za Kampeni:

#Time4Khilafah

#EstablishKhilafah

#ReturnTheKhilafah

#TurudisheniKhilafah

#KhilafahBringsRealChange

#بالخلافة_يحصل_التغيير_الحقيقي

أقيموا_الخلافة#

كيف_تقام_الخلافة#

#YenidenHilafet

 #HakikiDeğişimHilafetle

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Tunisia
Address & Website
Tel: 71345949 / 21430700
http://www.ht-tunisia.info/ar/
Fax: 71345950
E-Mail: tunis@htmedia.info

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu