Alhamisi, 24 Jumada al-awwal 1445 | 2023/12/07
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Uturuki

H.  15 Shawwal 1444 Na: 1444 / 13
M.  Ijumaa, 05 Mei 2023

 Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi

[مِّنَ الْمُؤْمِنِينَ رِجَالٌ صَدَقُواْ مَا عَاهَدُواْ اللَّهَ عَلَيْهِ فَمِنْهُم مَّن قَضَى نَحْبَهُ
وَمِنْهُم مَّن يَنتَظِرُ وَمَا بَدَّلُواْ تَبْدِيلاً]

Miongoni mwa Waumini wapo watu walio timiza waliyo ahidiana na Mwenyezi Mungu. Baadhi yao wamekwisha kufa, na baadhi wanangojea, wala hawakubadilisha (ahadi) hata kidogo.” [Al-Ahzab:23]
(Imetafsiriwa)

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki yamuomboleza mmoja wa Mashababu wake waheshimiwa na watiifu,

Ndugu Erkam Kılıçkaya

Ambaye alijitolea maisha yake kama Muislamu mkweli na mwenye ikhlasi katika kazi ya kurudisha mfumo kamili wa maisha ya Kiislamu, na pia aliyahitimisha katika da’wah. Pia, Erkam Kılıçkaya, ambaye alikuwa anaugua matatizo ya kiafya kwa miaka mingi, alikuwa na subira na maradhi haya na hakusita kubeba da’wah. Alijitahidi kwa ajili ya Uislamu kwa azma na shauku. [إِنَّا لِلَّهِ وإِنَّا إِلَيْهِ راجِعُونَ]  Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye hakika tutarejea.’” [Al-Baqarah:156]

Tunashuhudia kwamba Erkam Kılıçkaya, mwenye umri wa miaka 30, alitumia maisha yake ili kuregea mfumo kamili wa maisha ya Kiislamu na kusimamisha Khilafah Rashida kwa njia ya Utume.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu Mtukufu ambariki ndugu yetu huyu kipenzi kwa rehema zake, na airuzuku familia yake subira na faraja, na tunatoa rambirambi kwa jamaa zake, vipenzi na ndugu zake katika dawah.

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Uturuki

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Uturuki
Address & Website
Tel: 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu