Sifa ya Kuwa Taifa Bora la Umma wa Kiislamu Lazima Ifungamanishwe na Kusimamishwa Khilafah
- Imepeperushwa katika Yemen
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Sifa ya Kuwa Taifa Bora la Umma wa Kiislamu Lazima Ifungamanishwe na Kusimamishwa Khilafah
Sifa ya Kuwa Taifa Bora la Umma wa Kiislamu Lazima Ifungamanishwe na Kusimamishwa Khilafah
Afisa wa afya katika mji wa Al-Anad-Tuban, mkoa wa Lahj, alielezea kuwa kituo cha afya jijini humo kimepokea watoto wengi wenye ugonjwa wa ngozi, ambao ulisababisha hali ya hofu na wasiwasi miongoni mwa familia.
Yule anayeitwa Mkuu wa Afisi ya Upeo ya Kisiasa jijini Sanaa, Mahdi Al-Mashat, katika ujumbe aliamuru viongozi wa Wizara ya Afya kuitambua hospitali ambayo inajumuisha utaalamu maarufu zaidi katika kila vitengo vya magatuzi yaliyo chini ya udhibiti wa wanamgambo wake,
Siku ya Ijumaa, 12/18/2020, ilitangazwa kuwa serikali itaundwa chini ya uongozi wa Moein Abdel-Malek, yenye mifuko 24, iliyogawanyika kwa usawa kati ya Kaskazini na Kusini.
Kurudi kwa Uislamu kama umbile la kisiasa; Dola ya Khilafah, ingali inawatia tumbo joto mno nchi za Magharibi,
Gazeti la kila siku la Al-Thawra linalochapishwa jijini Sanaa mnamo tarehe 09/12/2020 lilichapisha ripoti iliyoungwa mkono na picha za kuvuja kwa kila siku kwa idadi kubwa ya mafuta ghafi
Gazeti la Al-Thawra liliripoti mnamo terehe 15/11/2020 M, habari za uzinduzi wa Shirika la Jumla la Kueneza Mbegu Zilizoboreshwa katika Gatuzi la Dhamar, mavuno ya mbegu bora kutoka kwa ngano.
Gazeti la Al-Thawra linalochapishwa nchini Yemen la mnamo tarehe 11/11/2020 lilifuatilia warsha ya kazi iliyoandaliwa na Wizara ya Fedha katika Serikali ya Wokovu,
Mahouthi walisherehekea kumbukumbu ya miaka sita ya kuingia kwao Sanaa mnamo Septemba 21, 2014 M, na kama kawaida yake, kwa hotuba ya kurudiwa rudiwa ya kuchosha ya bwana wao duni na butu zaidi Abdul-Malik al-Houthi,
Mahmoud Al Junaid, Naibu Waziri Mkuu mpya aliyeteuliwa mnamo 05/11/2019 kwa ajili ya “Ruwaza ya Kitaifa ya Dola ya Kisasa ya Yemen” aliweka wazi kwa mara ya kwanza msamiati wa ‘dola ya kiraia’ pale aliposisitiza katika mkutano na Mawaziri wa Usafiri Zakaria al-Shami, Utawala wa mitaa Ali al-Qaisi, na huduma kwa raia Idris Al-Sharajbi, mnamo Jumanne 19/11/2019