Serikali ya Aden Haiwezi Kusimamia dhidi ya Mabwana Zake Walioikabidhi Madaraka ni Dola ya Khilafah Rashida Pekee ndiyo yenye Uwezo wa Kuwalinda Waislamu
- Imepeperushwa katika Yemen
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Ijumaa asubuhi, tarehe 28/4/2023, Askari wa Kikosi cha Ulinzi wa Pwani ya Yemen waliokuwa wakishika doria katika eneo la Ras Fartak na Hasween katika Jimbo la Al-Mahra, mashariki mwa Yemen, walifyatuliwa risasi na meli ya kivita ya Uingereza, na kumuua mwanajeshi mmoja na kuwajeruhi wengine.