Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 366
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina ilionya juu ya njama chafu ya kuishambulia Al-Khalil kwa kutumia mizozo ya kifamilia na kuibua taharuki kwa kuzifinika kwa kufiniko cha ukoo.
Wanachama wa Hizb ut Tahrir/ Uingereza walishiriki katika kisimamo cha kuwanusuru Waislamu wa Uyghur mbele ya Ubalozi wa China jijini London, na Ubalozi mdogo wa China jijini Manchester, Jumamosi tarehe 13/11/2021.
Pakistan hutumia zaidi ya nusu ya ushuru unaokusanywa kwa malipo ya riba.
Hizb ut-Tahrir nchini Uswidi iliandaa kisimamo mbele ya Idara ya Uhamiaji ya Uswidi kutaka kusitishwa kwa uhamisho wa Ndugu Odiljon Jalilov,
Kikao Maalum juu ya risala iliyotumwa na Hizb ut Tahrir pamoja na ujumbe wa Mashababu wake bora kwenda kwa viongozi watano wa Taliban mwanzoni mwa mwezi Septemba 2021.
Dkt Abdul Wahid, Mwenyekiti wa Kamati Tekelezi ya Hizb ut Tahrir Uingereza, aelezea maslahi tofauti tofauti yaliyofungwa katika ajenda ya mabadiliko ya hali ya hewa - hayatokani na nia za dhati kwa ajili ya wanadamu