Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 342
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 342
Vichwa Vikuu vya Toleo 342
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo baada ya swala ya Ijumaa katika kambi ya Ataa iliyo katika mkusanyiko wa kambi za Al-Karame viungani mwa Idlib kikitoa wito kwa vikundi kufungua eneo la pwani ili kuiangusha serikali ya mhalifu.
Vichwa Vikuu vya Toleo 341
Afisi Kuu ya Habari: Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 52 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
Kalima ya Ustadh Samir Idd (Abu Muhammad) Wakati wa Kisimamo cha Mji wa Ariha cha Kuunusuru Msikiti wa Al-Aqsa Uliobarikiwa
Kwa kuzingatia hali ya wasiwasi katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) ya mashambulizi ya mara kwa mara yanayofanywa na umbile la Kiyahudi kwenye Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa na kuzingirwa kwake na bomu kwa miaka 15 katika Ukanda wa Gaza,
Zaidi ya miaka tisa imepita tangu serikali nchini Pakistan imteke nyara mhandisi Naveed Butt, msemaji rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan, na tangu alipotekwa nyara haijulikani alipo!
Vichwa Vikuu vya Toleo 340
Hizb ut-Tahrir / Wilayah ya Syria iliandaa msururu wa visimamo na maandamano kupinga uchaguzi duni wa urais ambao ulipangwa kumhalalisha mchinjaji wa Ash-Sham.