Kuporomoka kwa Marekani katika Muono Wake
- Imepeperushwa katika Siasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Tokea wakati wa majanga ya vita vya Iraq na Afghanistan na kuibuka kwa China, wengi walizingatia kuwa kipindi cha kuwepo dola kuu moja pekee kina malizika. Wengi wanazingatia nguvu ya Marekani kidunia inaporomoka na kutaja hili kuwa ni dalili muhimu ya kumalizika kwa dunia yenye dola kuu moja.